Ziara Ya Sheikh Ali Al-Halabi - Mombasa

[bofya kwenye picha -->]


Wasifu wa Sheikh Ali Hasan al-Halabi


Kitabu Kipya

Tafsiri Ya Suratu Qaaf
Sheikh Naasor Khamis


Usul -us- Sunna [Misingi Ya Sunna]
Na: Al-Imam Ahmad ibn Hanbal



Hukmu Ya Ndevu Katika Uislaamu
Na: Shaykh Dr. Swaleh as-Swaleh



Makala Mapya

Uongozi Wa Allaah Uliojaa Uadilifu
Na: Al akh Abul Fadh'li Qassim Mafuta Qassim

Wajibu wa Harakati Za Ulimi Katika Ibaada
Na: Imaam Muhammad ibn Salih ibn 'Uthaimeen (rahimahullah) & Shaykh Mashhur Hasan

Jee kugusa tupu kunavunja wudhu ?
Na: Shaykh Al-Muhaddith Mashhur Hasan Aal Salmaan



Ukweli wa Usaamah Bin Laadin
Na: Ulamaa Tofauti




Kisomo Cha Aya Za Ruqya
Shaykh Muhammad Musa Nasr



Darsa Mpya :

Abu Bilaal :
Njia za Upotofu Atumiazo Shaytaan : 1-6


Abu Abdurrahman :
Mujmal Masa'il -il- Imaan : 1 - 3



Abu Bilaal :
1. Sifa za Ne'ema ya Uislamu
2. Sifa ya 'Aqidah ya Muislamu
3. Sifa na Athari za Tawheed
4. Sifa na Malipo ya watu wa Tawheed siku ya Qiyaamah
5. Sifa ya 'Ibaadah ya Muislamu
6. Sifa za Tabia Njema Katika Uislamu
7. Sifa ya 'Ilmu ya Muislamu


Abu Hashim :
Tafseer Ya Suratul 'Aadiyaat na Suratul Zilzaal : Kutoka Tafsir Ya Al-Imaam ibn Al-Uthaymin

Qiyaam katika Ramadhaan (Salatu-Taraweeh)
Imaam Al-Albaanee

Sunnah Za Ramadhaan Zilizosahauliwa
Na: Imaam al-Albaani (rahimahullaah)

Kuthibitisha Mwezi Wa Ramadhan Na Tarehe Nyengine Za Kiislamu
Na: Dr. Muhammad al-Jibaaly
Wakati Gani Atafungua Mwenye Kufunga?(pdf)

Marekebisho ya Makosa ya ki-Historia Kuhusu “Uwahabi”(pdf)
Na: S’ad Shuway’ir

Wanawake Kusali Mahali Hawamwoni Imaam
Imaam Ibn 'Uthaimeen


Haadhihi Da'watuna (Hii ndio Da'wa yetu)(pdf)
Na: Imaam Muhammad Nassir ud-Deen al-Albanee

Wajibu Wa Kushikamana na Jama'aah
Na: Shaikh Abdus Salaam Ibn Burjiss

Suluhisho La Matatizo Ya Umma Huu
Na: Imaam Muhammad Naasir ud-Deen al-Albaanee
Fatwa Kuhusu Hukmu ya Taariku as-Salat (Mwenye kuwacha Swala)
Na: Imaam Abdul-Aziz bin Baaz na Imaam Ibn Uthaimeen

Walivyosema Wanavyuoni Kuhusu Jamaa'at ut-Tableegh
Na: Bin Baaz, al-Albaanee, 'Aafeefee, aas-Sheikh, ibn Fawzan

Umuhimu wa 'Aqeedah
Na: Sheikh 'Abdul-'Azeez al-Qaaree


"Na atakaye ubadilisha wasia baada ya kuusikia, basi dhambi yake ni juu ya wale watakao ubadilisha; hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia Mwenye kujua." Baqarah 2:181
Soma na upigishe chapa

'Aqeedatu at-Tahaawiyah(pdf)
Na: Imaam Abu Ja'afar at-Tahawee

Kanuni za Imani ya Ahlus Sunnah Kuwahusu Maswahaba - Shaikh 'Abdul-Muhsin bin Hamad Al-'Abbaad

Ikhwaan al-Muslimeen (The Muslim Brotherhood)


Jitahadhari na (watu wa) Surooree!

Shaykh Muqbil (rahimahullah) amesema: "Lakini utakacho ona ni mtu ahifadhi masomo yake mawili au matatu kisha azunguke nayo kwenye misikiti, akichemka na kunguruma (kama beberu). Kisha maswaahib alionao wambandike jina Shaikh-ul-Islaam! Haya jamani hii ndiyo ilimu? ..."

Jee, Isomwapo Qur'aan twafaa kuzungumza?

Ibn Katheer asema: "Maana yake ni ukiwa ndani ya Swala ya Jamaa'ah, pindi Imamu anaposoma kwa sauti (swala za Alfajiri, Maghrib na 'Ishaa') kama ilivyopokewa na Imaam Muslim kwenye Saheeh yake kutoka katika hadeeth ya Abu Moosa Al-Ash'aree ..."


Imaam Al-Albaanee kuhusu Jihaad

"Kuhusu Jihaad, Ewe ndugu yangu, katika wakati huu na kabla ya wakati huu, ni fard 'ayn, kwa sababu matatizo tuliyo nayo si matatizo ya Bosnia na Chechnya (peke yao) ... kuna Mayahudi ambao walioivamia Falesteen, na hata nchi moja ya Kiislamu haijajisongeza kutekeleza wajibu wa kupambana nao Jihaad, na kuwang'oa na kuwatumbukiza baharini ..."


Kujitolea Muhanga (Suicide Bombing) Katika Mizani ya Wanavyuoni wa Ahlul-Sunnah

...haifai kushirikiana nao (Suicide Bombers), wala wasipewe salaam. Bali, inafaa kujitenga nao, na watu wanapaswa kuonywa kuhusu maovu yao. Kwani wao ni Fitnah kubwa (mtihani/msiba) na ni wenye kuwadhuru Waislamu, na ni ndugu zao mashetani!"


Misemo Ya Salaf as-Saalih Kuhusu Bidah na Watu Wake (PDF)

Al-Layth bin Sa’d (rahimahullah) amesema: “Hata kama lau ningelimuona mtu wa hawaa (matamaniwa – yaani mtu wa bid’ah) atembea juu ya maji, nisingelimkubali” Basi Imaam ash-Shaafi’ee (rahimahullah) nae akasema:“Yeye (al-Layth) ameteleza kidogo (katika maneno yake). Mimi hata kama ningelimuona atembea angani, nisingelikubali chochote kutoka kwake.

1 1 a